Jinsi ambavyo kwa kutumia Dawa za Nutraceticals unaweza Kupona kabisa Maumivu ya CHEMBE YA MOYO,Presha ya kupanda na Shambulio la Moyo Pasipo kutumia Dawa za hospital Wala kufanya Upasuaji wa Mishipa ya damu.

Mpendwa msomaji,

Kama unataka kupona  Changamoto ya muamivu ya CHEMBE YA MOYO bila kusubiri kufikia hatua ya kufanyiwa Upasuaji wa Mishipa yako ya Damu na unataka Kutokomeza maumivu ya kifua kwenye Moyo, Begani na Nyuma ya Mgongo yanayojirudia hasa nyakati za

usiku ukiwa umelala kwasababu ya kupungua kwa hewa ya

oxygen kwenye misuli ya Moyo.

Vilevile unataka Kuboresha Mapigo ya Moyo yanayoenda kasi na Kukuondolea wasiwasi wa Kifo na mshtuko wa Moyo,Upumuaji wa shida hasa nyakati za usiku.

Au..

Umechoshwa na madawa Kila siku na haujui hatima yako ya

kupona na kuwa mtu wa kuchagua vyakula Kila siku, basi

unatakiwa Kusoma Kila neno kwenye Ukurasa huu 

Kwasababu....

 Unaelekea kugundua njia Mpya na yakipekee ambayo haina Madhara yoyote mwilini na imethibitishwa na Malmlaka za Afya (TBS, TMDA na SAB) kwa kuyeyusha Mafuta yaliyoganda kwenye mishipa yako ya Damu na kusafisha Mishipa  kama Mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha Moto.

Kwa Jina Naitwa Mr Omary Kaukuya najua ni kwa jinsi gani

maumivu ya Chembe ya Moyo yanakukosesha Amani na Furaha ya Maisha kwasababu Nina ndugu yangu ambaye alikuwa na Changamoto kama yako.

Nina uhakika kama ambavyo ilikuwa kwa Ndugu yangu hata wewe pia umejaribu njia Mbalimbali za kutibu Changamoto hii ya CHEMBE YA MOYO lakini umeishiakupoteza Fedha zako na Muda kwenye Matibabu ambayo hayafanyikazi.

Tazama ndugu yangu alianza kwa kutumia Dawa za hospital kwa kipindi cha miezi 4 akiamini kwamba zitamsaidia lakini baada ya mwezi mmoja akaenda hospital kupima tena kipimo cha ECG na ECHO kuona kama Mafuta yamepungua kwenye mishipa yake ya Damu lakini chakusikitisha Bado vipimo vilionyesha mishipa yake ya Damu imeziba zaidi Mafuta mengi (Cholestrol ) kuliko ilivyokuwa awali na maumivu ya kifua yalizidi kuongezeka siku hadi siku.

Hakuishia hapo..

Akaanza kutumia dawa za mitishamba (Tiba asili) kwa Muda wa miezi mitatu Mfululizo alipata Nafuu kiasi lakini baada ya kutumia dawa hizo Bado maumivu ya kifua upande wa moyo yalirudi kama zamani tena kwa Kasi zaidi.

Nikamshauri Ndugua yangu atumie Dawa za Nutraceticals (HEART HEALTH PROGRAM) kutoka Taasisi ninapofanyikazi lakini akawa Mgumu kunisikiliza na kuniamini.

Kwa jeuri yake akaenda Kununua Virutubisho Lishe kwenye kampuni ambayo sitaitaja hapa kwasababu sipo kwaajili ya kuiponda Kampuni yoyote au Biashara ya mtu.

Basi akanunua Virutubisho Lishe hivyo na akaanza kuvitumia.

Mwezi mmoja ukapata bila nafuu yoyote na hakuna alichoambulia zaidi ya kuendelea kupoteza Fedha zake na maumivu kuendelea.

Baada ya Kuona njia zote zimedunda na bado Maumivu yanazidi kumtesa Kwa upole na unyenyekevu mkubwa akanifuata na kuniambia Sasa yupo tayari kujaribu kutumia Dawa nilizomshauri kuzitumia ili asafishe mishipa yake ya Damu na kutibu Chanzo cha tatizo lake.

Alivyoanza kutumia dawa hizi wiki ya kwanza tu akaanza kuona mabadiliko makubwa mwilini.

Maumivu ya kifua mkono wa kushoto kwenye Moyo na Nyuma ya Mgongo yakaanza kupungua na yakawa hayamtokei mara kwa mara kama yalivyokuwa awali.

Hali ya kushindwa kupumua vizuri nyakati za usiku akiwa amelala ikaanza kupungua na angalau akawa anapata usingizi tofauti na ilivyokuwa awali.

Hali ya mapigo ya Moyo kulipuka mara kwa mara na Presha kupanda sana ikaanza kupungua.

Mpaka mwezi kuisha Hali ya mapigo ya Moyo kwenda mbio,kushindwa kupumua usiku na baadhi ya nyakati za Mchana ilipungua sana na pia kichwa kikawa hakimuumi tena kama kilivyokuwa kinamuuma awali.

Baada ya Kutumia dozi kwa Muda wa miezi mitatu Mfululizo Dalili zote za maumivu kwenye kifua, kupumua kwa shida usiku, ganzi mikononi na miguuni na Hali ya Presha kupanda iliisha kabisa.

Sasa yapata mwaka mmoja na nusu ndugu yangu sijamsikia tena akilalamika maumivu ya Chembe ya Moyo na hata amerejea kwenye shughuli zake za Kila siku bila kutegemea matumizi ya dawa tena.

Pengine UNATAMANI kujua ndugu yangu huyu alitumia Dawa gani ambazo zimemsaidia kuondokana na MAUMIVU MAKALI YA CHEMBE YA MOYO na kuzuia kabisa tatizo hili lisijirudie tena..

Usijali ndani ya dakika 2 zijazo nitakuambia alitumia Nini?

lakini kwanza unatakiwa kufahamu kwamba.….

Tafiti zinaonyesha kwamba kati ya vifo 4 vinavyotokea Duniani basi vifo 3 vinasababishwa na Maradhi sugu ya Moyo, kisukari, Saratani na Kiharusi.

Mtu 1 hadi 2 kati ya 100 ana Angina au Chembe ya Moyo.

Kwa wazee, inaweza kuwa hadi 4 kati ya 100.

Kwa wagonjwa wa moyo, hadi 1 kati ya 5 hupata maumivu mara kwa mara.

Hatahivyo Changamoto hii kwasasa inawakumba watu wa rika zote wazee, Vijana wa kike na wakiume, watu wenye Shinikizo la juu la damu (Presha), Wagonjwa wa kisukari,wenye uzito mkubwa na unene kupitiliza, Wavutaji wa Sigara

na watu wote ambao wanaishi katika Msongo wa Mawazo

kwa Muda mrefu(Stress).

Aidha wagonjwa wengi wenye Changamoto hii ya Angina pectoris au Chembe ya Moyo wanachelewa kugundua tatizo hadi pale Dalili zinapoanza kuwa Serious na pia wengi wenye Changamoto hii wanakufa vifo vya Usingizini.

Kwahiyo kama haujaanza kupata Dalili yoyote haimaanishi

kwamba wewe ni mzima kwa 100% kwasababu sio wagonjwa wote ambao wanaanza kupata Dalili za maradhi ya Moyo Mapema na ndiomaana maradhi ya Moyo huitwa " Silent killer" (Muuzaji wa Kimyakimya).

Tafiti zilizofanyika juu ya kisababisha cha maumivu haya ya Chembe ya Moyo ni Kuziba kwa Mafuta katika mishipa inayopeleka Damu Kwenye Moyo na kusababisha mishipa kuwa migumu na kushindwa kutanuka vizuri (Elasticity) wakati wa kupitisha Damu na kusababisha upungufu wa damu na oksijeni kufika kwenye misuli ya moyo (myocardial ischemia) kutokana na mishipa iliyobana au kuharibika.

Kifuatacho ni Chanzo cha kutengenezwakwa Dawa iliyomsaidia ndugu yangu Mpaka akapona na kuzuia Maumivu yasijirudie na asipate tena Changamoto ya presha kupanda na tishio la kupata Kiharusi kwasababu ya Kuziba kwa mishipa ya Damu.

Kama nilivyokuambia hauwezi kutengeneza Tiba ya tatizo fulani wakati haujui chanzo cha tatizo hilo ni kipi.

Lakini Scientific Advisory board(SAB) katika tafiti zao za Muda mrefu wameweza kugundua kisababishi cha Maumivu ya CHEMBE YA MOYO.

Na ugunduzi huu wa Changamoto ya CHEMBE YA MOYO kutokea ndio umepelekea shirika hili la kimarekani kugundua kanuni ya kutengeneza vidonge(Capsules na Tablets) asilia kabisa ambavyo vinayeyusha Mafuta kwenye mishipa ya Damu, kurekebisha Kiwango cha Mafuta kwenye damu (Cholesterol )na Kuboresha Afya ya Moyo na misuli ya Moyo kwa ujumla ili kutibu Maumivu ya CHEMBE YA MOYO, Presha ya kupanda na kuzuia Shambulio la Moyo lisikutokee.

Kisababisha walichogundua cha CHEMBE YA MOYO

(ANGINA) naomba nikueleze kidogo..

Kitaalam, kinachotokea hadi mafuta “yajenge kizuizi” kwenye mishipa na kusababisha maumivu ya Angina pectoris ni mchakato wa hatua kadhaa unaoitwa atherosclerosis.

Huu si tukio la ghafla ni mabadiliko ya muda mrefu kwenye

ukuta wa mishipa ya damu.

Hapa chini ni mlolongowa kisayansi, hatua kwa hatua:

1. Uharibifu wa ndani ya ukuta wa mshipa (endothelial dysfunction) Ukuta wa ndani wa mshipa (endothelium) unapopata

Msongo kwasababu ya shinikizo la damu, sukari nyingi,Uvutaji wa Sigara na Msongo wa Mawazo Unaharibika na kupoteza uwezo wa kulinda Mshipa.

2. Kuingia kwa mafuta (LDL cholesterol) Chembe za mafuta Mabaya (hasa LDL) huingia ndani ya ukuta wa mshipa.

Ndani humo, hupata mabadiliko (oxidation) na hivyo Mafuta haya Machafu LDL iliyobadilika huwa “hatari” kwa mwili.

3. Mwili unaanzisha uchochezi (inflammation). Mfumo wa kinga huyatambua Mafuta haya Machafu yaliyobadilika kama adui.

Seli nyeupe za damu huja “kupambana”Lakini badala ya kutatua tatizo, zinajikusanya ndani ya mshipa na kuleta athari

ya kuzuia Damu zisipite vizuri kwenye mishipa.

4. Kuundwa kwa “plaque” (kizuizi),Seli za kinga + mafuta + protini huunda mkusanyiko unaoitwa

plaque au mabongebonge ya Mafuta ambayo huziba na kupunguza uwazi wa damu kupita kwenda kwenye Moyo.

Plaque hii hukua taratibu ndani ya mshipa,hapo ndipo mshipa unaanza kuziba, kuwa mwembamba na mgumu (kupoteza elasticity).

5. Kupungua kwa mtiririko wa damu,Kadri plaque inavyoongezeka nafasi ya damu kupita inapungua, mtiririko wa damu unapungua,Moyo haupati oksijeni ya kutosha hasa

wakati wa mazoezi,stress na shughuli nzitoza siku Nzima.

6. Maumivu ya kifua (Angina)

Moyo unapokosa hewa ya oksijeni ya kutosha seli za moyo huanza “kulalamika”ndipo mtu anahisi kubanwa kifua,maumivu

makali na kukosa pumzi.

7. Hatari kubwa zaidi (plaque rupture)

Katika baadhi ya hali ya plaque inaweza kupasuka damu inaweza kuganda ghafla juu yake hii inaweza kusababisha kuziba kabisa kwa mshipa yaani heart attack (mshtuko wa moyo na hata kupata Kiharusi).

Kwahiyo ukitumia vidonge hivi vya Nutraceticals vitakusaidia kwenda kuyeyusha Mafuta haya yaliyoziba kwenye mishipa yako ya Damu .

Hivyo Damu zakutosha na hewa ya oxygen itafika kwenye moyo wako na hatimaye kumaliza maumivu makali ya Chembe ya Moyo, Kuboresha Afya ya Moyo wako na Mzunguko wa Damu na kutibu Chanzo cha Shinikizo la juu ladamu au presha ya kupanda.

Hii ni kwasababu kazi ya vidonge hivi ni kurejesha hali ya MISHIPA yako mikuu ya Damu katika hali yake ya Kawaida na Kuboresha Mfumo wako mzima wa Afya ya Moyo wako.

Scientific Advisory board (SAB) wameipatia jina Dawa hii HEART HEALTH PROGRAM (Yaani progamu ya Dawalishe zinazorejesha Afya ya Moyo wako).

Heart health Program ni Vidonge ambavyo vimetengenezwa kwa Virutubisho Lishe vinavyoitwa Garlic Allium Complex kutoka kwenye jamii ya Vitunguu swaumu na Vitunguu maji aina kumi,

Omega 3 fatty acids yaani Mafuta kutoka kwenye minofu ya Samaki jamii ya Salmon,

Tre en en grain concentrate kutoka kwenye viini vya nafaka zisizokobolewa na

COQ10 kutoka kwenye Jamii mbalimbali za Mbogamboga na Matunda.

Virutubisho hivi ndivyo vinavipa upekee vidonge hivi wa kuweza kuyeyusha Mafuta kwenye mishipa yako ya Damu na kusawazisha Kiwango cha Mafuta mwilini haijawahi kutokea.

Vidonge hivi vimetengenezwa kiasili kabisa katika namna ambayo havitaleta madhara ya aina yoyote ile mwilini mwako( Based in nature backed by Science)

Si hivyo tu..

Vidonge hivi vimethibitishwa na Mamlaka za Viwango Nchini Tanzania TBS, Mamlaka ya Dawa na VifaaTiba (TMDA), Maabara ya Mkemia mkuu wa Serikali Tanzania na Bodi ya Lishe ya wanasayansi Duniani (SAB).

Kwahiyo wasiwasi wako wa kupata madhara yoyote baada ya Kutumia vidonge hivi uweke pembeni kabisa. Vidonge hivi ni Salama kwa Afya ya mwili wako.

Utakapoanza kutumia vidonge hivi siku hadi siku, wiki hadi wiki utashangaa sana kwa mabadiliko utakayoanza kuyaona.

Mafuta kwenye mishipa yako ya Damu na mwilini kwa ujumla yataanza kuyeyuka kama yanavyoyeyuka Mafuta yaliyoganda kwenye kikaangio cha Moto.

Kwa Ufupi baada ya kumeza vidonge hivi Changamoto na karaha zote zinazotokana na KUZIBA kwa mishipa yako ya Damu mwilini (Chembe ya Moyo, Presha kupanda, Kiharusi, Shambulio la moyo) zitaisha kabisa.

Mfumo wako wa Afya ya Moyo utarudi kuwa kama wa kijana Mdogo wa miaka 10.

Hakika vidonge hivi ni Tiba Mpya na yakipekee ambayo haijawahi kugunduliwa.

Usiyaamini tu Maneno yangu pekee, Baadhi ya watu waliotumia Vidonge vyangu Wana yafuatayo yakusema;

Deogratius Munish kutoka Tabata Dsm.

Nina miaka 55, nilidhani Dawa zenu ni kama zile za makampuni menginie ambazo hazina ufanisi, lakini baada ya kuzitumia kwa Muda wa mwezi mmoja na nusu niliamua kurudi hospitali kufanya tena kipimo cha ECG na ECHO kuthibitisha kama Dawa zenu za Heart health Program zinafanyakazi na kama zimenisaidia.

Majibu yalitushangaza sana kuona Mafuta yote yaliyoonekana awali kuganda na kuziba mishipa mikubwa inayopeleka Damu Kwenye Moyo yameyeyuka na mishipa ipo wazi haijaziba tena.

Lakini pia Kiwango changu cha Mafuta kwenye Damu yaani Cholesterol zipo Level tofauti na awali kabla sijaanza kutumia dawa zenu.Daktari aliniuliza kama nimetumia dawa tofauti na nilizopewa Hospital? Nikamjibu Ndio nimetumia Dawa za Virutubisho Lishe za Heart health Program.

Habiba Ramadhan kutoka Zanzibar..

Nilikuwa nimechoshwa na Madawa ya hospital kwa Muda mrefu bila kupata Mafanikio Wala matokeo yoyote ya kuondosha Maumivu kwenye ziwa la kulia hadi mgongoni, kiasi ambacho hata Usiku nilikuwa silali usingizi kwasababu nilikuwa nahisi kama nakabwa na kukosa hewa. Lakini baada ya Kutumia vile vidonge vya Heart health Program nimeshangazwa maumivu sijui yamepotelea wapi na Wala hayajajirudia tena kama mwanzo. Hii Dawa yako ni kiboko, hakika Doctor Mungu akubariki sana.

Christopher John kutoka Arusha.

Sio tu kwamba Dawa zako za Heart health Program zimenisaidia kutibu Maumivu ya Chembe ya Moyo yaliyonitesa kwa kipindi cha miaka miwili na nusu, Nimeshangazwa hata Presha ya kupanda ambayo ilikuwa inanisumbua na ganzi kwenye vidole vya Mguuni na kwenye vidole vya mkono wa kushoto imeisha kabisa. Lakini pia awali maumivu ya Chembe ya Moyo yalikuwa yanasababisha hata nisishiriki tendo la ndoa kwasababu nilikuwa naishiwa Pumzi na mwili kulegea haraka kiasi cha kushindwa kurudia tena Tendo la ndoa. Ila sasahivi nachapa vizuri kama zamani. Hizi Dawa zako hazina longolongo. 

Dozi kamili ya kuyeyusha Mafuta yaliyoganda kwenye mishipa ya Damu hadi yaishe kabisa na kutibu Changamoto ya CHEMBE YA MOYO na isijirudie tena ni siku 90 (miezi 3).

Kama mishipa yako ya Damu haijaziba Mafuta kwa Asilimia kubwa Kuna uwezekano wa kuwahi kupona haraka kabla ya siku 90.

Lakini hatakama unawahi kupona kabla ya siku 90 au miezi 3 tunashauri umalize dozi kamili ili kuzuia tatizo lisiweze kujirudia na pia uimarishe zaidi Afya ya Moyo wako.

Matumizi ya Dozi heart health Program ni kama ifuatavyo;

Hakikisha unameza baada ya kula Chochote Asubuhi na jioni.

Garlic Allium Complex, Meza 1 x 2

Omega 3 Fatty Oil, meza 2x2

Tre en en Grain concentrate Meza 2x2

Tumia maji ya vuguvugu kumeza vidonge na sio maji ya baridi.

Na endapo Kuna Dawa nyingine za Hospital unazitumia usiziache ghafla kwasababu zitaupa mwili mshtuko.

Unachotakiwa kufanya endelea kumeza pamoja na Dawa zangu hadi ziishe alafu ndio uziach. Lakini hakikisha unazimeza muda tofauti na dozi ya Heart health Program. Tenganaisha Muda wa kumeza angalau masaa Mawili au matatu.

Kwa kufanya hivo baada ya siku kadhaa (5 hadi 7) utaanza kuona mabadiliko kwenye kupungua kwa maumivu ya Chembe, Moyo kutolipukalipuka hovyo na baada ya mwezi mmoja au zaidi utaanza kuona mabadiliko makubwa sana na maumivu ya CHEMBE YA MOYO na PRESHA yatakuwa yamekwisha kabisa.

Heart health Program inagharimu shilingi ngapi?

Virutubisho Lishe vya aina kama hii vya Kuboresha Afya ya Moyo kutoka kwenye makampuni mengine dozi ya miezi 3 ni Tsh 1,000,000(milioni moja tu)

Kwahiyo nikisema dozi ya Heart health Program ya miezi 3 ni sh 900,000itakuwa ni Bei rafiki sana.

Ukizingatia Scientific Advisory board wametumia Mabilioni kufanya utafiti wa kugundua Dawa na pia utengenezaji wa dawa hizi unatumia Teknologia ya kisasa zaidi hivyo, gharama zinazotimika kutengeneza heart health Program zipo juu sana.

Kwahiyo kwa Tsh 900,000unakuwa umepata kwa Bei rafiki sana ukilinganisha na Bei ya makampuni mengine.

Lakini unajua nini hautalipia hiyo sh 900,000kupata dozi kamili.

Unaweza kujipatia dozi kamili ya miezi 3 kwa Sh 840,000 tu.

Kuna sababu kwanini nimeamua kutoa punguzo kubwa la bei hivyo.

Sababu ni kwamba napata wateja wengi sana kupitia watu ambao wamepona kwa dawa hizi na wamekuwa mabalozi wazuri sana wa kuniletea watu wengi wenye Changamoto hiyo.

Kwasababu hiyo ndiomaana nimetoa punguzo la bei ili kukupatia Urahisi wa kupata dozi ya Heart health Program.

Kwasababu Nina imani 100% kwamba dozi hii itaendakutibu Changamoto yako ya CHEMBE YA MOYO.

Hivyo hata wewe utakuwa balozi wangu Mzuri wa kuniletea wahanga wengine.

Na hata hivyo...

Kama unashindwa kutoa Tsh 840,000/= ya dozi yote ya miezi 3 kwa pamoja usijali unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kumaliza dozi kamili.

Nimeweka utaratibu wa mtu kuchukua kwa awamu.

Unaweza kuchukua dozi ya mwezi mmoja kwa sh 280,000 tu! , Au dozi ya miezi miwili au dozi kamili ya miezi yote 3 .

Lakini punguzo hili la bei na utaratibu wa kuchukua Dawa kwa awamu hautakuwepo siku zote.

Heart health Program inatengenezwa Marekani. Kwasasa mzigo ambao tumebakianao hapa Tanzania kwenye Ofisi zetu zote mbili DSM na Mbeya ni dozi ya watu 150 tu.

Kwahiyo watu 100 watakaokuwa wakwanza kulipia dozi hii ya Heart health Program ndio ambao watapata OFA hii ya punguzo la bei kwa Kiwango chochote watakachokuwa wameanzanacho na watasajiliwa kwenye Club inayoitwa BORESHA AFYA YA MOYO.

Ukisajiliwa kwenye Club hii Faida zake ni kwamba utaendelea kupata Dawa Kwa punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hatakama Bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.

Watu 150 wanaonekana wengi lakini kumbuka Tangazo hili linaonekana kwa Watanzania wote wenye simu kubwa za kuweza kuingia mtandanoni na wengi wao ni watu ambao wamechoka kuendelea kupoteza Muda na Pesa kwenye Tiba ambazo haifanyikazi. Kwahiyo Nina uhakika ndani ya siku kadhaa au wiki kadhaa watu hao 150 watakuwa tayari wameshachukua Oda zao.

Baada ya Oda hizo 150 kuchukuliwa hutopata Tena Punguzo la bei ambalo tunalitoa kwa watu Hawa 150.

Na si hivyo tu!..

Kama utapitwa OFA hii itakubidi tusubiri siku 120 (Miezi 4) kuja kwa mzigo mwingine wa HEART HEALTH PROGRAM kutoka Marekani.

Aidha ukilipia Dawa hizi za Heart health Program utapata OFA ya pili ya Guide au muongozo wa Bure! wa Vyakula vyakuzingatia ambavyo vitakusaidia kuendelea Kuboresha Afya yako ya Moyo na kujisikia vizuri zaidi wakati unaendeleakutumia Dawalishe zetu.

Guarantee au Dhamanaya dawa zetu za Heart health Program.

Pengine umetumia Fedha zako nyingi tu kulipia Matibabu bila ya Kupona Changamoto yako ya CHEMBE YA MOYO.

Ukitumia Dawa hizi za CHEMBE na usipopona ndani ya Muda wa Miezi 3 basi utarudishiwa pesa zako zote.

Kwahiyo hauna chakupotez.

Endapo utatumia Dawa zetu na haujapona tatizo lako Utapigasimu namba.. 0788 952 031 au 0677 507 484 ili Kurudishiwa Fedha zako.

Unachotakiwa kufanya kwasasa angalia Mpangilio wa dozi hapa chini Kisha jaza fomu ili Kutuma Oda ya dozi utakayoanzanayo.

1.Dozi ya mwezi mmoja Tsh 334,000 sasa Tsh 280,000 tu!

2.Dozi ya miezi 2 Tsh 668,000sasaTsh 560,000

3.Dozi ya miezi 3 Tsh 1,000,000 Sasa Tsh 840,000

Malipo ni kwa ..

M PESA 0767 881 000 (Omary Hamisi Kaukuya)

LIPA MIX BY YASS 22 70 58 47 (Omary Hamisi Kaukuya)

CRDB ACCOUNT 0152 571 231 200 (Omary Hamisi Kaukuya)

NMB ACCOUNT 205 100 603 78 (Omary Hamisi Kaukuya)

Jaza ODA ya Dozi yako kwa kubonyeza Neno Oda yangu hapa chini

Mr Omary Hamisi Kaukuya

Phone: 0788 952 031/0677507484

Email: kaukuya18@gmail.com

Green acres building, kijitonyama

Dar es salaam Tanzania

P.S Kama nilivyokuambia zipo DOZI za watu 150 tu kwasasa.

Saa hii hapa chini itakaposoma sifuri maana yake oda zote zitakuwa zimechukuliwa na Tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo Mpya na kuanza kutangaza kwa mara nyingine tena.

Kwahiyo usiendelee kusubiri wakati Suluhisho la tatizo lako liko

mbele yako.

Tuma oda ya DOZI yako Sasahivi kabla hujawahiwa.

Disclaimer

This website is not part of the Facebook™ platform or Facebook™ Inc. Additionally, this site is NOT endorsed by Facebook™ in any way. Facebook™ is a trademark of Facebook™ Inc.

All information provided on this website is for educational and informational purposes only and should not be considered as professional advice. Results may vary depending on individual effort, experience, and application.